Mmasai mwenyewe (katikati) akifundisha matumizi ya dawa mbalimbali za asili
Wakazi wa Makete mjini wakisikiliza kwa makini maelezo ya Mmasai anayetoa tiba za magonjwa mbalimbali
Waandishi wa habari nao walikuwepo, huyu jamaa anaitwa Obeth kutoka Kitulo Fm hapa kama anachukua habari vile


