Hizi ni kazi za wasanii mbalimbali wa bongofleva na kazi hizi bandia tayari zinauzwa kitaa, na taarifa zilizopo wasanii wote ambao nyimbo hizi zipo kwenye CD hii hawajaruhusu kwa maana nyingine wameibiwa, sasa dawa yake nii ipi jamani Serikali?
Video Mpya : MJUKUU WA MWANAMALONDE - SUDAI
1 hour ago
