Ajali mbaya yatokea Tanga yaua watoto 6


Gari iliyobeba majani ya chai ikiwa inatoka katika kijiji cha Kimbo mkoani Tanga wilaya ya Korogwe  kata ya  Dindira imepaa ajali na kuua watoto,

Gari hiyo ilipinduka na kuua watoto sita na wengne watatu wakiwa mahututu na kupelekea kukimbizwa katika hospital ya tarafa ya Bungu.

Watoto hao walipewa rifti lakini safari yao haikupangwa kufika kule walikotegemea kwenda, ni majonzi na msiba mkubwa.

HAKIKA NJIA YETU NI MOJA ALLAH AZILAZE ROHO ZA WATOTO HAWA MAHALI PEMA PEPONI NA AWAPE FARAJA NDUGU JAMAA NA WAZAZI WA WATOTO HAWA ISHA ALLAH.

RIP


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo