PICHA ZAIDI ZA AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO KUGONGANA NA LORI KATIKA DARAJA LA MTO WAMI


Basi la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori ndio amefariki na majeruhi kadhaa


Name:  jf1.jpg
Views: 0
Size:  45.7 KB 
Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva  wa Lori hilo aliyekuwa amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja.
Name:  jf2.jpg
Views: 0
Size:  34.6 KB
Name:  jf3.jpg
Views: 0
Size:  37.7 KB 
Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo