Habari zilizotufikia hivi punde zinasema jengo la Clouds Media linaungua moto.Taarifa za awali zinasema moto huo umetokana na hitilafu ya umeme kwenye chumba cha kurushia matangazo cha Clouds TV.Breaking News : Jengo la Clouds Media lawaka Moto, Angalia Video hii
By
Edmo Online
at
Tuesday, November 21, 2017
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema jengo la Clouds Media linaungua moto.Taarifa za awali zinasema moto huo umetokana na hitilafu ya umeme kwenye chumba cha kurushia matangazo cha Clouds TV.