Kamanda wa Polisi na Mbunge wafanyiwa maombi ya Nguvu

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhairi Kindavashari aliye inamisha kichwa kulia na Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mbeya CCM,Dkt Mary Mwanjelwa wakiombewa na Mchungaji Adison Mwajunga wa kanisa Tanzania Assemblies Of God TAG jijini Mbeya jana katika ibaada ya mwaka mpya iliyofanyika jana Ukumbi wa Mkapa. (Picha na Kenneth Ngelesi)




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo