Send Off Party ya Mdau wetu



Bibi harusi mtarajiwa Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Somsom mkoani Kilimanjaro,Thabita Jalia mwenye gauni jekundi akiwa katika pozi na wapambe siku ya sherehe ya kumuaga Sendoff party iiyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Nave beach jiji Dar-es-salaam.
Picha na Kenneth Ngelesi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo