Mkuu wa Wilaya akiwa kazini mitaani, Muangalie hapa

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Williamu Paul Ntinika kwanza kulia akipokea maelezo kutoka kwa mfanyabiasha eneo la Kabwe, Ezekiel katika ziara ya kukagua hatua za awali za kuweka michoro kwa ajili ya meza za wafanyabiashara wadogo na mama lishe kituo cha daladala Kabwe Jijini Mbeya kushoto katibu tawala Wilaya ya Mbeya Aron Msote.[picha na Kenneth Ngelesi

 Mafundi wakiweka michoro kwa ajili ya kuweka meza wafanya biashara wadogo maarufu kwa jina na machinga na mama lishe katika kituo cha daladala cha Kabwe jijini Mbeya kama alivyokutwa na mpiga picha jana.



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo