Baba aacha Maagizo azikwe akiwa amekaa huko Simiyu, Angalia hapa Kilichotoea


Ama kwa hakika ukishangaa ya Mussa utaona ya firauni au ukishangaa ya kuku kula mchele na baadaye huyo kuku kuliwa na wali!

Mzee mmoja kutoka wilayani maswa alisema atakapo kufa azikwe kwenye jeneza akiwa amekaa wosia wake huo umetekelezwa Jana baada ya kuletwa hospitali ya mkoa ya sekotoure mkoani mwanza na kufariki dunia.

wawe.jpeg
watoto wake walitekeleza amri na kutengeneza jeneza ambalo Mzee alilihitaji kuwa akifa azikwe akiwa amekaa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo