Jay Moe Afunguka kuhusu kutoka kimapenzi na Shilole


Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya ‘Pesa Madafu’, Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya ‘Chafu Pozi’ kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole.

 

Baada ya kuwepo kwa tetesi za wawili hao kutoka kimapenzi na zaidi kuonekana picha wako pamoja kwenye moja ya eneo za kula bata wakati wa usiku,chanzo chetu kilimtafuata 
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo