Msikilize Afisa Utumishi Makete akitolea Ufafanuzi changamoto za Wauguzi (Audio)

Katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani kwa mkoa wa Njombe, Afisa Utumishi na utawala wilaya ya Makete Bw. Nicodemus Tindwa amepewa nafasi ya kujibu changamoto zilizojitokeza kutoka kwa wauguzi

Kwa sauti Bonyeza hapa chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo