- CHANZO CHAVUJISHA UBUYU
Tukio hilo lilitokea majira ya saa 8 usiku, walinzi wa nyumba za jirani walishindwa kung’amua mara moja dhumuni lake. - ALICHOKIFUATA NDANI USIKU ULE CHAJULIKANA
- Ray C alipoingia ndani ya geti, alimuomba mlinzi amuitie mwenye nyumba (Nadia).
- Baada ya kutoka nje mwenye nyumba, nini ambacho Ray C alikifanya, na ni nini alichokifanya mwenye nyumba?
- Je, kuna nini kati ya Ray C na mfanyabiashara huyo?
- Risasi Mchanganyiko lina A-Z namna ambavyo mkasa huo wa aina yake ulivyomtokea Ray C?
- Walinzi wa majirani wazikoki silaha zao.
- Ni nani aliyemuokoa Ray C kwenye mkasa huo?
- Mwenye Nyumba afunguka mazito.
- Ray C naye bila kupepesa macho afunguka yaliyomkuta usiku ule kwa mfanyabiashara huyo.
ELIMU YETU LAZIMA IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA.
51 minutes ago
