Mnamo majira ya saa 10 alfajiri, gari aina ya Hiace iliteleza toka kwenye kivuko na kutumbukia katika bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.
Gari hiyo ilikuwa na abiria wawili. Mpaka majira ya asubuhi, jeshi la zimamoto
na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na likaendelea kuutafuta mwili wa pili.
Mchana huu umepatikana
mwili wa pili wa Nice Karagwe huku zoezi la kuitoa gari likiendelea
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi