
Makamu Mkuu wa Chuo Padri Dr Mgimwa akiendesha misa
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela alimuwakilisha Mkuu wa
mkoa katika mazishi mke wa Mkuu wa mkoa mstaafu Mh Erasto Mbwillo; Afisa
Elimu Mbeya Vijijini Mama Margareth Mgimwa Mbwilo. Msiba huo
uliondeshwa na Makamu Mkuu wa Chuo Padri Dr Mgimwa pia uliudhuriwa na
Jaji Mkuu Chande Othman; Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bwana Katanga; Mkuu
wa Mkoa Simiyu Bwana Anthony Mtaka, Wakuu wa wilaya Makete- Mh Daud
Yassin, Rungwe Mh Zainab Mbiro na Songea Mh Mpesya pamoja na viongozi
wengine wengi wakiwemo wastaafu wakiongozwa na Mkuu wa mkoa mstaafu Mh
Abbas Kandoro
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akimfariji Mkuu wa mkoa mstaafu Mh Erasto Mbwillo
Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman akimpa pole Mkuu wa mkoa mstaafu Mh Erasto Mbwillo