skip to main |
skip to sidebar
Liyumba Aungama Dakika 30 Kabla ya Kifo
Huzuni kubwa! Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki
Kuu ya Tanzania (BOT) Amatus Liyumba (68), aliyefariki dunia juzi,
anadaiwa alisali kuungama dhambi zake, nusu saa kabla ya kukutwa na
umauti.
- Liyumba alikuwa akisumbuliwa na maradhi ambayo hayakuwa wazi.
- Siku tatu kiabla ya kifo, Liyumba alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Dar es Salaam.
- Ndugu wagoma kutaja hospitali ambayo marehemu alitibiwa mara ya mwisho
- Kumbe Mwaka 2008, Liyumba aliwahi kuanguka akiwa ofisini kwake.
- MAISHA YAKE, MIKASA ILIYOMKUMBA MPAKA KUTUMIKIA JELA
- Kesi yake Mahakamani alivyoisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 221 mpaka kufungwa jela.
- Alivyopata msala mwingine akiwa Gerezani Ukonga.
- Maisha yake Gerezani mpaka kumaliza kifungo hicho.
- BADO AANDAMWA NA MABALAA
- Baada ya kutoka jela akumbwa na balaa jingine la aina yake.
- Jifikishwa tena Mahakamani kwa mara nyingine.
- Maisha yake yalikuwa ni zaid.
- Dakika chache kabla ya kifo chake, alifumba macho akasali.
- Ni majonzi makubwa.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi