Mkurugenzi wa Green Fm Egnatio Mtawa wa kwanza kulia akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wajumbe wa kamati ya fedha na mipango ya wilaya ya Makete walipotembelea kituo hicho cha redio hii leo
Mhandisi wa Ujenzi wilaya ya Makete Injinia Tembo akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Green FM
Wageni hao wakisikiliza muziki studio katika studio 1
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Makete Bw. Francis Namaumbo wa kwanza kulia akifurahia jambo
Pongezi zikitolewa baada ya kutembelea studio hizo
Studio namba 1 ya Green FM