Watuhumiwa wanaodaiwa kuhusika na
Tukio la Ujambazi, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya
kukamatwa mchana leo mchana katika eneo la Kariakoo, Jijini Dar es
salaam.
Sehemu ya Umati wa watu wakishuhudia tukio la kukamatwa kwa Watuhumiwa hao wanaodaiwa kuhusika na tukio la Ujambazi.