Ajali ajali ajali.....angalia ilivyokuwa huko Kigoma

Gari lenye usajili  T 896 BFB likiwa limeacha njia na kuanguka Wilayani Kakonko Mkoani  Kigoma, likiwa  limesheheni mzigo kupita uwezo wake na mizigo hiyo  kuhamishiwa   katika gari jingine. 
Wahusika wakifunga mizigo hiyo japo haikufahamika mara moja nimizigo gani.
Mizigo hiyo ikihamishiwa katika Gari lenye usajili  T 267 DCW ili waweze endelea na safari hiyo.
Picha na Khamisi Mussa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo