Wagombea watatu bora wanajieleza na kuulizwa maswali baada. Wa kwanza ni Amina Salum Ali.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) July 11, 2015
Balozi Amina Ali asema hana maadui katika chama na atakiunganisha na kuondoa makundi humo. Fuatilia Mkutano Mkuu hapa
http://t.co/7t2lAyOUZv
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) July 11, 2015