Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) amesema chama kinatakiwa kuangalia namna ya kuongeza idadi ya majina ya watia nia watakao ingia kwenye tano bora na kuongezeka zaidi
Rais Kikwete amesema hayo wakati akihutubia mkutano mkuu wa CCM 2015 usiku huu wenye lengo la kumpata mgombea urais wa CCM mwaka 2015
"Yeyote kati ya hawa watatu walioingia kwenye tatu bora wanatosha, mkimchagua mmoja kati ya hawa ataweza kupeperusha bendera ya CCM" amesema rais Kikwete
Mhe. @jmkikwete atoa shukurani kwa wagombea wote waliyojitokeza na kuonyesha uhalisi wa demokrasia katika Chama Cha Mapinduzi #KaribuDodoma
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) July 11, 2015
Mhe. @jmkikwete: "... wagombea bora 3 wote Halmashauri Kuu imeridhika: kila moja anatosha" Tazama hapa http://t.co/7t2lAyOUZv #KaribuDodoma
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) July 11, 2015