PICHA ZA MAFURIKO DAR ES SALAAM




Picha hizi zinaonesha hali ya mafuriko yaliyoikumba Dar es Salaam baada ya mvua kubwa kunyesha jijini humo jana 21.12.2011. Poleni sana mlioguswa na mafuriko hayo kwa namna moja au nyingine MUNGU yupo pamoja nanyi! (Picha zote ni kwa hisani ya http://www.dinamarios.blogspot.com/ & http://www.djchoka.blogspot.com/


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo